...ndiyo hapo sasa hata mimi nashangaa, yaani hapa nimepatwa na kigagaziko hata sijielewi. Atakuwa ni huyu huyu mpyaKwanza umeachwa na naniiiii binamu [emoji1787]
Mvua tena!! Huku kwetu ni vumbi tu na upepo mkali.Sijambo kabisa , natumani nawe, pole kwa mvua kama ipo huko kwenu.
Daaah, si tokea alfajiri mvua tu, umeme hamna taabu tupu!Mvua tena!! Huku kwetu ni vumbi tu na upepo mkali.
Hope umeacha kukesha.
Hapa na usingizi yaani , jana nililala saa sita🤣Hope umeacha kukesha.
Hongereni, mlime sasa.Daaah, si tokea alfajiri mvua tu, umeme hamna taabu tupu!