Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makiwendo acha tabia mbaya🤣🤣🤣Je wajua inakujia na Shunie Shunie.View attachment 3022696
Umeenda kanisani?Baby Atoto i miss you
Nawe first born?Mtake radhi aisee!
Sijaenda aisee nimekosa sadaka bwana!Am good, kanisani umeenda?
Hamna watu powa kama first born.Nawe first born?
Hapana sijaenda kanisani kwakuwa juzi Ijumaa nilienda Msikitini.Umeenda kanisani?
Hamna watu powa kama first born.
Wana share vingi mno na wadogo zao, wapo tayari wakose wao ila wengine wapate, warudie utafiti kwa kweli.
Acha visingizio!Sijaenda aisee nimekosa sadaka bwana!
Hamnaaa wachoyoo, utafiti haujakosea🤣🤣Hamna watu powa kama first born.
Wana share vingi mno na wadogo zao, wapo tayari wakose wao ila wengine wapate, warudie utafiti kwa kweli.
Oooh! Thats good.Hapana sijaenda kanisani kwakuwa juzi Ijumaa nilienda Msikitini.
Nadhani nineshatimiza jukumu la Ibada kwa wiki hii🙏