Makapuku Forum

Makapuku Forum

Njema bro, ila nimehuzunika kwamba hujaenda ibada kwakuwa huna sadaka!!
Why sadaka ikunyime haki ya kumuabudu Mungu.
Mungu hatazami sadaka zetu.
Mungu ni wa huruma sana kwetu
Hapana kaka jinsi tunavyo undwa huko makanisani kwenda kwenye ibada bila matoleo ni ngumu kidogo, unaeza kwenda usirudi nyumbani na amani zaidi ya mfadhaiko wenye aibu ndani yake!
 
Back
Top Bottom