Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hapana kaka jinsi tunavyo undwa huko makanisani kwenda kwenye ibada bila matoleo ni ngumu kidogo, unaeza kwenda usirudi nyumbani na amani zaidi ya mfadhaiko wenye aibu ndani yake!
😨😨Kama unaenda ibadani na kutengenezewa mikingamo ati kwakuwa tu huna sadaka, huo ni "Msiba".
Mungu ametoa NENO lake kwetu bure kabisa, ni kweli kwamba nyumba zetu za ibada zinahitaji nguvu zetu kuziendesha lakini si kwa namna kama hizi ambazo viongozi wetu wametufikisha.
 
Naam brother kuna namna fulani viongozi wetu wametufikisha kwa mfumo wa mafundisho na kanuni zao tuone sadaka ni kama ada ya kwenda kusali kanisani!
Athari za mafundisho yao zimezaa kanuni kwetu waumini kwamba usipo kuwa na fedha kwa ajili ya sadaka inakupasa usihudhirie ibada.
 
Acha visingizio dogo, nenda church.
 
Back
Top Bottom