Makapuku Forum


Asanteni kwa kila kitu makapuku, Asanteni kwa rambirambi mlizowakilisha kwa auntie makiwendo na kuniletea [emoji120] mbarikiwe sanaa sanaaa pale mlipotoa

Obe
Makiwendo
Sakayo
Atoto mbarikiwe wapenzi sanaaa kwa faraja zenu za hali na mali [emoji120] sina cha kuwalipa Mungu wangu atawalipa kwa yale mliyonitendea

Naombeni mzidi kuniombea tu nilibaki na baba yangu tu sasa hivi nimebaki mwenyewe [emoji120] Mungu azidi kumpumzisha Baba yangu mahali pema peponi [emoji120]
 

[emoji120][emoji120][emoji120]
 
It shall be well Love...

Mungu wa Mbinguni yeye atoae faraja ambayo hapana Mwanadamu anaweza kutoa....Na azidi kukufariji na kukutia nguvu kila iitwapo leo...

Tunakuombea..
 
Pole sana Shunie kwa msiba
 
Tuko pamoja mdau Shunie
Pole sana kwa msiba na faraja ikuangazie wewe na familiy yako. Haijalishi, japokuwa hayupo ila anaishi. Maisha lazima yaendelea.
Shukrani kwa members ambao walituwakilisha kwa hali na mali.
 
Auntie Mungu azidi kuwa mfariji wenu, baba amevipigana vita na sasa amepumzika. Tuzidi kumuombea apumzike kwa amani na kumuenzi kwa mema aliyotufunza.
 
pendaeli [emoji120][emoji120] Barikiwa sanaaaa mkuu pale ulipotoa ubarikiwe maradufu
 
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…