Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Wapendwa wa Makupuku na Wana JF wote.......Salamu...
Kwa moyo wa majonzi na simanzi kubwa nawataarifu juu wa mwenzetu Shunie ambaye amempoteza Baba yake Mzazi...
Msiba umetokea leo saa tatu Jumatano Asubuhi....Taratibu za msiba, mazishi taarifa italetwa hapa..
Kila mmoja kwa namna yake anaweza kumpa pole mwenzetu huyu...
Kuhusu Rambirambi na mengineyo...Itafanyika vile Mtakavyoshauri pia...
Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe...
Asanteni kwa kila kitu makapuku, Asanteni kwa rambirambi mlizowakilisha kwa auntie makiwendo na kuniletea [emoji120] mbarikiwe sanaa sanaaa pale mlipotoa
Obe
Makiwendo
Sakayo
Atoto mbarikiwe wapenzi sanaaa kwa faraja zenu za hali na mali [emoji120] sina cha kuwalipa Mungu wangu atawalipa kwa yale mliyonitendea
Naombeni mzidi kuniombea tu nilibaki na baba yangu tu sasa hivi nimebaki mwenyewe [emoji120] Mungu azidi kumpumzisha Baba yangu mahali pema peponi [emoji120]