Nashukuru sana πAsante sana Penda nimeshapoa ππ Barikiwa sanaaa Usijali kabisa uwe na amani kabisa
Aisee ndio naingia hapa niko busy sana.nikitulia nitawaonaWapendwa wa Makupuku na Wana JF wote.......Salamu...
Kwa moyo wa majonzi na simanzi kubwa nawataarifu juu wa mwenzetu Shunie ambaye amempoteza Baba yake Mzazi...
Msiba umetokea leo saa tatu Jumatano Asubuhi....Taratibu za msiba, mazishi taarifa italetwa hapa..
Kila mmoja kwa namna yake anaweza kumpa pole mwenzetu huyu...
Kuhusu Rambirambi na mengineyo...Itafanyika vile Mtakavyoshauri pia...
Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe...