Makapuku Forum

Haha halafu wewe ndie Pilot ? Na wasiwasi kama wewe ni kapuku au upo humu ndani kwa misheni maalumu uliyotumwa na wakongwe ,kuna sehemu niliona una crush na Mkongwe ,sasa wewe kapuku gani wakati unatoka na wakongwe ?
[emoji23] [emoji23] Na wewe usinifanyie hivyo sasa. Hata in real life kuwa na crush kitu cha kawaida, nilikaribishwa na Bitoz mwenyewe na nikaja kwa hiari yangu [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…