Makapuku Forum

Ni yeye ndo anaetakiwa kununua Actros na model ni ile ya kwenye picha, amezidi kulia kulia sasa huu ni wakati muafaka kwa yeye kuonyesha uwezo[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Labda Ndugu Mshana amsaidie kwenye yale mambo yake walau ageuze Actros kuwa kobe mnyama ndoto za Ibra zitakua zimetimia ,vinginevyo namwonea huruma
 
Makapuku tunatishaaaaa majukwaa mengine watatuelewa tu umoja ni nguvu ila du! Sijapata kimwana wa kumalizia nae masaa yaliyobaki ngoja nimsogeze jirani my dear bottle.
Heee hebu tutolee uchuro huku ,kapuku umejiunga 2012 ?? Acha aibu bana Mkongwe si uwe huru tu useme mwenyewe unatamani kuwa kapuku ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…