Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Hii roho mbaya sasa.Pumzika tu sisi utatukuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii roho mbaya sasa.Pumzika tu sisi utatukuta
Basi itabidi tu unywe ndovuHuku hazipatikani
Aah wapi naogopa kitambi tashindwa kufanya ma2c bureeBasi itabidi tu unywe ndovu
Sasa ulitaka tukapumzike wote?Hii roho mbaya sasa.
Ndio,inabidi tusubiriane.Sasa ulitaka tukapumzike wote?
Kwani kuna vitanda?Sasa ulitaka tukapumzike wote?
Mmmmm [emoji85] mtafute yule jamaa alieinua mikono juu uhakikishe unaishusha chini basiAah wapi naogopa kitambi tashindwa kufanya ma2c buree
Magu atanitumbua akinikuta bar saa hiiMmmmm [emoji85] mtafute yule jamaa alieinua mikono juu uhakikishe unaishusha chini basi
Hebu nipishe mie.... We endelea kupumzika kwa amaniNdio,inabidi tusubiriane.
Ndio nashangaa sasaKwani kuna vitanda?
Haya bwanaHebu nipishe mie.... We endelea kupumzika kwa amani
Nunua viroba uweke mfukoni, uwe unatulia nyuma ya keyboard unafyonza taraaaatibuMagu atanitumbua akinikuta bar saa hii
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]Nunua viroba uweke mfukoni, uwe unatulia nyuma ya keyboard unafyonza taraaaatibu
Supu ya ngisi ipo pembeni!! Lakini niliificha maana mgeni ratiba haikumsomaBila nyama???
Sasa hutaki??[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
Maini yangu eeehSasa hutaki??
Sio kwa uchoyo huo[emoji115] [emoji115] [emoji30] [emoji30]Supu ya ngisi ipo pembeni!! Lakini niliificha maana mgeni ratiba haikumsoma
Hapana ni chat room ya wanyonge sababu kila thread tukiingia ni full dharau na nyodo eti "tumejiunga juzjuz tu ".... Ooooh tunavaa pampas na Matusi kibao tumeona isiwe tabu tujenge kibanda chetuHii ni harakati yakuanzisha jukwaa au? Kazi ipo humu jf..!!