Makapuku Forum

Watu wako busy kuzungumzia suala la sayari ya Nibiru kuigonga dunia siku nne zijaa na kusababisha dunia kuangamia ila huku watu wako busy kuzungumzia watu!
 
Hii ni harakati yakuanzisha jukwaa au? Kazi ipo humu jf..!!
Hapana ni chat room ya wanyonge sababu kila thread tukiingia ni full dharau na nyodo eti "tumejiunga juzjuz tu ".... Ooooh tunavaa pampas na Matusi kibao tumeona isiwe tabu tujenge kibanda chetu
Mafaza wa Jf wapuuzi sana
.......................................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…