Makapuku Forum

Makapuku Forum

Dah... hata mimi napata ugumu sana.. kwetu kapuku ni yule ng'ombe dume asiyeweza chochote zaidi ya kula tu hivyo ni hasara tupu kuendelea kumfuga[emoji12]
Jina la kitu chchote hutofautiana kulingana na mazingira, hivyo mkuu wa makapuku aliwahi kutoa ufafanuzi kuwa kapuku ni wana jf walio jiunga muda sio mrefu na wasioaarufu, from 2014 to 2016
 
Back
Top Bottom