Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,697
- 15,497
Halafu kila msimu inaanza vzr...baadaye pumzi inakata[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kwel mkuu, sijui ile timu ina nyota ya kutofanikiwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu kila msimu inaanza vzr...baadaye pumzi inakata[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kwel mkuu, sijui ile timu ina nyota ya kutofanikiwa?
Mbona wameshaanza kutepeta...Lazima walegee.
bora kabisa umenisaidia kumuonyesha kuwa ni hatua gani ambayo ningeichukua
jonax uko poa mkuu!bora kabisa umenisaidia kumuonyesha kuwa ni hatua gani ambayo ningeichukua
Mmeshapatana eeh [emoji87] [emoji87] [emoji87]nko safi mkuu, ndo nmeingia Makapuku Forum muda huu..
Hehehe Mkuu pole kwa kujifarijiSABABU TANO MUHIMU ZA KUJIVUNIA KUIPENDA BARCELONA
1: timu pekee iliyochukua trebo mara mbili
2: timu pekee iliyoongoza wachezaji wake kutwaa uchezaji bora wa dunia mara nyini zaidi
3: timu pekee iliyobeba kombe la UEFA mara nyingi karne hii ya 21
4: timu pekee iliyowaboresha mastar waliotamba zaidi duniani Mf: Maradona De lima Dinho Cruyff n.k
5: TIMU PEKEE INAYOONGOZA KUTWAA JUMLA YA MATAJI YOTE ULAYA tangu 1899 ianzishwe had leo imetwaa makombe zaid ya 85
ZIPO SABABU NYINGI SAAANA ILA HIZO TANO NI BAADHI KATI YA SABABU MILIONI ZA KUIPENDA BARCA TOKANIKIWA NA 5yrs HIVYO WACATALONIA WENZANGU TUJIVUNIE KUWA BARCA hata hawa haters wote kumbukumbu zao zingefutwa kichwani alaf wangeambiwa wachague timu moja hakika wangeigombania Barcelona kama dhahabu
Kufungwa ni mojawapo ya matokeo hvyo SASA NGUVU YETU TUIELEKEZE KWENYE LA LIGA NA COPA DEL RAY
MTI WENYE MATUNDA NDIO UNAOPIGWA MAWE
VIVA BARCELONA
NILICHOGUNDUA NI KUWA ROBO TATU YA MAKAPUKU NI WASHABIKI WA MAN U NAWAPA POLE
Poa hamna nomanko safi mkuu, ndo nmeingia Makapuku Forum muda huu..
hapana, hapa naongea naye kinafiki tu, ila rohoni namchukia kwel..!!!Mmeshapatana eeh [emoji87] [emoji87] [emoji87]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hapana, hapa naongea naye kinafiki tu, ila rohoni namchukia kwel..!!!
[emoji16] [emoji16] [emoji35] [emoji35]
pamoja sana manPoa hamna noma
[emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usisahau kuniletea zawadiWakuu tutaonana badae,ngoja kwanza nikapake rangi Taifa
[emoji5] [emoji5] [emoji5][emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8]