mtu mkubwa huyo kiroba hakimtoshi may be umwagizie guniasimama upate hata kiroba moja hapo shola!
Asante. Nitafanyeje sasa ndo mapenzi hayaHaya Hongera nilijua uko mkavu ...
Nimeshapata mkuuNimefurahi sanaaa.... Karibu kwenye familia, kama una rafiki yako umlete bado kina youngblood wako lindoni
[emoji15] [emoji15] [emoji15]mtu mkubwa huyo kiroba hakimtoshi may be umwagizie gunia
Umenistuaaaaa!!!7000
Bado kidogo. Kuwa mpoleUmenistuaaaaa!!!
Sawa mkuu nimekupata vyema ..Situmii hiyo kitu
Si mnataka English figure, hiyo hapo sasa.....mMmmmmmh hii modo ya wapi
Nikopeshe basiMimi mwenyewe nakopesha vocha.
Mie mpole tuu !!Bado kidogo. Kuwa mpole
Hii hapana kwa kweliSi mnataka English figure, hiyo hapo sasa.....m
Hapo sasa ntawazadia shampeni tunywe pamoja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bado kidogo. Tutafikia 8k ile ya Barcelona soon
[emoji643] [emoji646] [emoji646] [emoji646] ileeeeeeeeeweMie mpole tuu !!
Mi mwenyewe naisalandia, mana sijawahi kufanikiwaYa 7000 lazima niitupie kama kawaida yangu
aliye tayari kumtibu uyo anaeng'atwa shavuni au alie tayari kumpeleka kituoni huyo anaemng'ata [emoji55] [emoji55] [emoji780] [emoji780]
Aliye tayari aniPM
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
...................................