Nilikuwa nawaangalia tuMzeee wa kulengaaa[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] yaani hii ya kupost after 60 second imeniboa sana.
Kuniletea mazagazagaaliye tayari kumtibu uyo anaeng'atwa shavuni au alie tayari kumpeleka kituoni huyo anaemng'ata [emoji55] [emoji55] [emoji780] [emoji780]
Mhh koho koho hivi kuna kofta hapo kwa mangi mnisaidie??Mama watoto amekaba Leo, anasema nisitoke mvua hii. Si unajua tena.
Sitaki anune baby wangu
TAKUKURU wazinguaji, Jecha ndo kila kitu aje afute haya matokeoKuna haja ya kuita TAKUKURU ifike hapa
Mmmmh kofta unakuja kuuliza JF una yako sio bure hahahahMhh koho koho hivi kuna kofta hapo kwa mangi mnisaidie??
Ww mchawi Mara ya pili hii umekuwa mshindi wa kukamilisha post........
tumia zile mbinu zako mvute jimenaMsaada kwenye tuta! Chumba kikubwa kitanda kikubwa mvua inanyesha halafu kibabu niko pekeyangu[emoji85] [emoji25] [emoji12] [emoji86]
Kivipi tena Mkuu?Kuna haja ya kuita TAKUKURU ifike hapa
Au viroba.......... Kimoja itakuwa dharaumtu mkubwa huyo kiroba hakimtoshi may be umwagizie gunia
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]TAKUKURU wazinguaji, Jecha ndo kila kitu aje afute haya matokeo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hapana, sina makosa. Ni bahati tuWw mchawi Mara ya pili hiiumekuwa mshindi wa kukamilisha post
Uchunguzwe
......................
Wako ni nani??Nimeshapata mkuu
Hamkani si shwari tenaKivipi tena Mkuu?
Tafuta wazee wenzako. Mwendokasi wa vijana utawezaMsaada kwenye tuta! Chumba kikubwa kitanda kikubwa mvua inanyesha halafu kibabu niko pekeyangu[emoji85] [emoji25] [emoji12] [emoji86]
Nilikuwa kwenye harakati za kupata jiko Mkuu.acha utani basi...wewe jana wote tulikuwa masingle leo ushapata tayari!!
Umetishaaaa
Aliye tayari aniPM
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
...................................
[emoji7] [emoji8] [emoji7] [emoji8] [emoji85]tumia zile mbinu zako mvute jimena
cc Jimena
NahreneWako ni nani??
Nitambue uwepo wake kabisa