Makapuku Forum

Asante sana kwa pongezi zako mkuu,

Ni kweli wahanga wa hilo tatizo ni wengi sana, japo mimi kama mimi sijawahi kupata tatizo hilo moja kwa moja ila pia sifurahishwi pale mtu mwingine anapofanyiwa kitendo hicho eti kwasababu tu ye amejiunga JF 2016

Tuna nia nzuri tu, na kwa kushirikina tutahakikisha hiyo tabia inakwisha au kupungua kwa kiasi kikubwa.

Asante kwa kuguswa hope umepokea Likes za kutosha sana baada ya kukatisha anga hizi usiku wa leo[emoji4] [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…