Makapuku Forum

Makapuku Forum

Inatia moyo pale tunapo thamini michango ya wenzetu bila kujali wamejiunga lini Jf ,wana likes ngapi sijui nini ,Jf ni kisiwa cha elimu,sehemu ya burudani tosha nk ,hivyo tuheshimiane bana
Mkuu umenena vizuri sana,mimi sometimes naumia sana ninapotoa mchango wangu halafu mtu from nowhere anakwambia unaongea nini wewe wakati umejiunga juzi tu!!!.
 
Umeongea point sana. Maana kuna watu wanaleta kujuana sana.

Hili JF ni ya wote. Mtu akikosea unamuelekeza kistaarabu.

Heshima ni muhimu sana.
 
Mkuu umenena vizuri sana,mimi sometimes naumia sana ninapotoa mchango wangu halafu mtu from nowhere anakwambia unaongea nini wewe wakati umejiunga juzi tu!!!.
Mimi watu wa aina hiyo nilikua naenda nao jino kwa jino ,mambo ya kupigwa shavu hili ugeuze lile siwezi aisee ,nilishia kula ban tu ila mwisho wa siku naona mods wakalegeza
 
Mkuu umenena vizuri sana,mimi sometimes naumia sana ninapotoa mchango wangu halafu mtu from nowhere anakwambia unaongea nini wewe wakati umejiunga juzi tu!!!.
Hahahahaa kuna watu wamejibinafsishia jf....eti umejiunga juzi!!! Kwani kuwa jf siku nyingi ndio kuwa na busara na ufahamu!!!

Me huwa nawapotezea tu!!!

あかなはやかさ!!!
 
Back
Top Bottom