Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hawa watu ndiyo dawa yao ukizubaa watakuvua nguo,sio watu wazuri kabisa.
Mimi kuna tatizo langu moja kuna updates uchaguzi wa Marekani Nguruvi3 amezileta ila cha ajabu wanao ruhusiwa kuchangia huo uzi ni wakongwe tu sijui wana maana gani ,Invisible Moderator Paw naomba mtuambie kwanini access ya uzi huo ipo restricted ?
 
Mods nao wana tatizo sio bure. Kila member ana huru wa kuchangia mada yoyote ila nashangaa kwanini wanabana katika baadhi ya mada. Nakumbuka ulishawahi kusema hii kitu
 
Mimi kuna tatizo langu moja kuna updates uchaguzi wa Marekani Nguruvi3 amezileta ila cha ajabu wanao ruhusiwa kuchangia huo uzi ni wakongwe tu sijui wana maana gani ,Invisible Moderator Paw naomba mtuambie kwanini access ya uzi huo ipo restricted ?
Mods nao sometimes wanafanya mambo ya ajabu sana,alafu ukiwapa ukweli wanakupiga Ban.
 
Back
Top Bottom