Makapuku Forum


Kama vipi pita tu sio lazima uweke kituo hapa
 
Mtu ukitoa mchango kumchallenge mkongwe utasikia vimaneno vya kejeri kama "mtu mwenyewe umejiunga feb 2016" au "senior member".....kama mtu kajiunga feb 2016 hana haki ya kuchangia?!😱 au senior member hana haki ya kuchangia😱
Au utasikia hizi id zilizokuja baada au wakati wa uchaguzi nazo ni za kupuuza[emoji134]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…