Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,553
No kushobokea wakongwe ndo dawa ya kuwashusha coz makapuku ndio wachangiaji wakuu wa majukwaa mengi yenye mvutoNajua una hasira nao kwa kadhia uliyokutana nayo, ishatokea!, wameleta akili mpya kwa roho zao za husda, tusiwajadili Sana watu kwani tutaanza kuwa wepesi mapemaa. Kwa hiyo tu- focus Na yetu, Objectives za kuanzisha jukwaa zipewe kipaumbele!.