Makapuku Forum

Makapuku Forum

Najua una hasira nao kwa kadhia uliyokutana nayo, ishatokea!, wameleta akili mpya kwa roho zao za husda, tusiwajadili Sana watu kwani tutaanza kuwa wepesi mapemaa. Kwa hiyo tu- focus Na yetu, Objectives za kuanzisha jukwaa zipewe kipaumbele!.
No kushobokea wakongwe ndo dawa ya kuwashusha coz makapuku ndio wachangiaji wakuu wa majukwaa mengi yenye mvuto
 
Back
Top Bottom