Th name vipi kuguna huko?Mmmmmmh
Tulipeana majukumu kuwa tusilale mpake replies zifike 8kUlikesha hapa bila shaka.. Morning
Umeniangusha dada, lengo lilikuwa si Mamba Kotela ebu rudi soma btn the lines tena ndiyo urudi kunijibu.. Bila yeyote kushtuka lakinManuu kwetu si mamba kotela japo pia huko napajua mie wa Masia Mamba kwa Mayo
kwakweli sijaelewa hebu ninong'oneze tenaUnaniaibisha[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Baby naomba weekend hii tusije humu. Maana kuna watu wanapagawa na jina lako. Je wangekuona mwenyewe. Kama mimi jinsi tunavyonana Kila siku nahisi wangedata zaidi.Kuna million mbili hapa ya kufanyia shopping. Ukanunue vitu vidogo vidogo. Ukikubali utapata mambo mazuri zaidi cute b usiniangushe wii
Always kuanza kuanza huwa ni page ya #1sijui nianzie wapi niishie wapi naomba muongozo
Kila la kheri.. Waangalizi tupoAmini mie nimempenda hivyo hivyo
Niongezee kwenye list mkuu maana nimegundua chamber hii asubuhi hii tu na tayar nimesha piga kama 200 hivi itakuwaje baada ya wk 1..Tulipeana majukumu kuwa tusilale mpake replies zifike 8k
Tulikuwa Mimi, briz MANDELAA KIWELU na Cobblepots
Dah watu na bahati zenu..
Na akinuna huyo ni Mkongwe.Maisha tu haya,
Kapuku hanuni
Twende sehemu gani honey wangu? Waache tu wapagawe mm ni wako peke yako.Baby naomba weekend hii tusije humu. Maana kuna watu wanapagawa na jina lako. Je wangekuona mwenyewe. Kama mimi jinsi tunavyonana Kila siku nahisi wangedata zaidi.
Weekend hii tutoke twende place tuwe wawili tu baby wangu
Sanaaaaaaaaa mpendane mpaka dunia itikisike kwani shs ngapi?
Hata sielewiTh name vipi kuguna huko?
Naunga mkono hii hoja kwa kweli....Baby naomba weekend hii tusije humu. Maana kuna watu wanapagawa na jina lako. Je wangekuona mwenyewe. Kama mimi jinsi tunavyonana Kila siku nahisi wangedata zaidi.
Weekend hii tutoke twende place tuwe wawili tu baby wangu
Asije tu kukuita mwanaune suruali humu. Jitaidieti Linamo anasema kanipenda ivoivo [emoji3]
Uwe na umri kuanzia 18+Wanaangaliaga vigezo gani
Pamoja Mkuu.Hahahaaaa..... kama hauna access ya kwenda huko litakuwa limefutwa kweli, ila kama unayo ruhusa ya kudhuru huko lipo sana.
Salama kabisa Mkuu, naona una likizo ya mwezi mzima.Kiasi tu, na ndio naamka sasa, morning all