Makapuku Forum

Sema jamaa ni mgogwe safi hana mambo ya ajabu kama wengine
Kabisa mshana jr yuko tofaut na wakongwe wenzake mzee wa ulozi
Hii kazi umesomea au maana inaonekana unajua mambo mengi ya ulozi
Ila awaambie wakongwe wenzake waache dharau kwa wanaoingia jf sote ni sawa hapa uliingia jana juzi leo mtondogoo sote ni sawa tu tuelekezane umesikia mshana jr wafikishie wakongwe wenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…