Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sijajua paka sasa dhana ya ukongwe inamaanisha Nini? Labda unipe darasa...
Maaana kama ni umri Wa kuwa jf..? Au it goo beyond that....
Ila dhana ya kapuku nimeielewa vema. Kana dharau flani hivi japo binafsi haijawahi kunikuta ila huwa siipend
kuitambua tu dharau ni mwanzo wa kujua nini tunachokimaanisha. Kutambua dhana ya wakongwe ni wale wanaoandika pumba lakini wanapewa shobo la kutosha.. Wewe sio mmoja wao na kama wewe sio mmoja wao karibu tupambane kurudisha Hadhi ya Jf kutoka kwa wanaojiita wakongwe
 
Hahahahaaaa.. Kumbe humu tuna ulinzi shirikishi

Tumekamilika kila idara, wasituchukukie poa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
1460270114298.jpg
e1e58695622d2e46ca8dc873cabd0abd.jpg
 
kuitambua tu dharau ni mwanzo wa kujua nini tunachokimaanisha. Kutambua dhana ya wakongwe ni wale wanaoandika pumba lakini wanapewa shobo la kutosha.. Wewe sio mmoja wao na kama wewe sio mmoja wao karibu tupambane kurudisha Hadhi ya Jf kutoka kwa wanaojiita wakongwe
We're together.
Kapuku tuanze kupeana support sisi wenyewe kwanza....
 
Kapuku nimetoka kanisani nakuja kukisanusha hapa!!!

Mshana jr nakuona pale na mambo yako😱

Nashawishika either umekuja kufanya ulonzi au ushushu, but certainly one of the two😀😀😀😀😀 (kidding),

Karibu mkongwe pekee ambaye huna madharau, or labda sijawai kukutana nazo kutoka kwako😱
 
Back
Top Bottom