Makapuku Forum

Hehehehe hili jina ndo maarufu, yani kifupi JF kuna Makapuku na wakongwe hivyo kwasasa inabidi tuhakikishe tunafanyaje ili kusonga mbele na sio kuhangaika na jina mkuu

Natumai utalipokea jina kwa mikono miwili na tutakuwa pamoja kulisongesha
Nikiwa na hakili timamu pasipo kushawishiwa na mtu yeyotee mimi dekitambi natangaza rasmi kuwa nimejiunga rasmi na Timu MAKAPUKU
JAMMII FORUM nisaidieee

Over..
 
Nikiwa na hakili timamu pasipo kushawishiwa na mtu yeyotee mimi dekitambi natangaza rasmi kuwa nimejiunga rasmi na Timu MAKAPUKU
JAMMII FORUM nisaidieee

Over..

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€, daaah....nimecheka sana asee, hongera kwa uamuzi mzuri wa kubadiri gia anganiπŸ˜€
Karibu MAKAPUKU ni familia moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…