nyumbatatu
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,076
- 939
Siku zote makapuku tuna mawazo bora Sana, Na mapinduzi popote katika historia ya dunia yameletwa Na makapuku!, changamoto yetu sio Tu kuwa Na mawazo mazuri, ila Ni jinsi gani tunayatumia Na kunufaika nayo.Nimependa mawazo yako Mkuu.
Nakuelewa sana mkuumtu anajiita Star Wakati anafahamika kwao tu..... Tupa kule na peleka kule... Ndani ya kikosi wasaliti hawahitajiki wazee wa Intalejensia tupo
Mkuu una ka-beef na watu fulani?!!hatuwezi kuabudu watu wenye chuki na makapuku, wanapost upuuzi wanapewa ufagio wa milele.. Hii ni namba mpya, mapambano mapya.. Kucheka na adui ni kukubali kuuza siri zako.. Kama wao wakongwe basi sisi ni wajuzi lakini wenye Ujuzi kuliko wao...
Wana ile tabia ya bendera fata upepo yani wanakera sanaaAfu wabongo ni watu kuogopa sana majina, unakuta kapuku umepost kitu cha maana kweli, post ya kwanza akichangia the so called mkongwe akakuponda, basi ujue you are doomed!! Kika anayekuja atakupnd tu.
Yani kuna some kind of persona worship ambayo it has to go😡😡
Mbona warembo makapuku wako wachache??!! Fanya harambee basi waongezeke.Nakuelewa sana mkuu
Acha waisome namba, makapuku mbele kwa mbele
Watakwama tu na nongwa zaoHarakati Hizi hazitaisha leo wala Kesho.. Licha Ya Mods Kuleta Upendeleo na kupunguza Views Lakini Bado tunaamini wataisoma na Hizi figisufigisu zao watashindwa
Karibu sana Mkuu kwa chama kubwa la MAKAPUKU.Siku zote makapuku tuna mawazo bora Sana, Na mapinduzi popote katika historia ya dunia yameletwa Na makapuku!, changamoto yetu sio Tu kuwa Na mawazo mazuri, ila Ni jinsi gani tunayatumia Na kunufaika nayo. Nafeel proud Na team makapuku
Asante sana sana ibra87 hii inamaana kubwa sana kwangu, umenipa nguvu mara 1000 zaidi ya ile niliyokuwa nayo
Uko sawa kabisa, pia Makapuku hatuamini katika wingi bali impact, hivyo hata tukiwa wachache lakini wenye impact basi ni sawa kabisaTuna wawili so far, huyu mwingine i hope yuko ofline
Jimena
Nahrene
Kwa kuanzia harakati hawa wawili wanatosha. Hawa ni the likes ya kina Bibi Titi enzi zileeee
Na mimi ni kapuku mmojawapo? Sijaelewa maana ya kapuku