Makapuku Forum

nimerudi hapa ndugu jamaa na makapuku wote. ki ukweli nilikuwa kimya sana tokea muda wa mchana kutokana na kukatika kwa umeme na kuchelewa kurudi . lakini mawazo yote yalikuwa kwenu makapuku wenzangu.

nilikuwa nikiiwaza thread hii
huku nikihisi kuhujumiwa na MODS ambao wamejipa kazi ya kupunguza LIKE tunazopeana hapa. Lakini tusife moyo mapambano bado yanaendelea. lakini kama kweli Mods wanakifanya hiki tunacholalamikia kamwe malalamiko yetu hayatakwenda bure. Bado tunapambana na tutapambana mpaka kieleweke JUSTICE FOR MAKAPUKU

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…