Makapuku Forum

Makapuku Forum

nimerudi hapa ndugu jamaa na makapuku wote. ki ukweli nilikuwa kimya sana tokea muda wa mchana kutokana na kukatika kwa umeme na kuchelewa kurudi . lakini mawazo yote yalikuwa kwenu makapuku wenzangu.

nilikuwa nikiiwaza thread hii
huku nikihisi kuhujumiwa na MODS ambao wamejipa kazi ya kupunguza LIKE tunazopeana hapa. Lakini tusife moyo mapambano bado yanaendelea. lakini kama kweli Mods wanakifanya hiki tunacholalamikia kamwe malalamiko yetu hayatakwenda bure. Bado tunapambana na tutapambana mpaka kieleweke JUSTICE FOR MAKAPUKU

I hope ulipitia na kule serikalini lakini mana najua huwezi kurudi nyuma na kusoma posts zote,
 
Habari wana JF
Habari Makapuku wenzangu
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.

Uzi huu ni kwaajili ya makapuku wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapana JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote humu.

Makapuku natumaini nyote tutashirikiana katika jambo hapa JF. Bila kumsahau founder wa makapuku prezidaa Bitoz shukuru kwako sana.

Members
EMMYGUY
ibra87
sizzya007
Nahrene
cute b
lizziebettie
UncleBen
peterchoka
nyumbatatu
dekitambi
HULILO
Kawalala93
damtanzania
Mama mkubwa
Thoomas
youngblood
tawa driller
SongeaOne
eden kimario
KABUGHA
Sambusa kavu
shaban lee

Karibu sana makapuku katika mjadala. Wengine nitawaongeza hapo baadae.

Karibu sana

Bitoz
JF Makapuku Founder

Jimena
JF Makapuku assistant Founder

Th Name JF Makapuku assistant Founder
Kila nikirudia kuisoma hii thread napata raha sana aiseeeee hasa ili jina la "Makapuku" Mmetisha sana makapuku wenzangu@
 
Back
Top Bottom