Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,553
Anayependa atumie....but naendelea na "makapuku founder"Kuna kitu kimoja nilisahau kukiweka wazi, makapuku wote tuna signature yetu ambayo tunatakiwa tuwe tunaitumia kwenye majukwaa mengine (kwa wale ambao wataona sawa na ambao wako proud na ukapuku wetu).
Ikitokea umechangia kwenye uzi mwingine, chini ya comment yako malizia na signature hii....
#proudkapuku
#kapukuforchange
Hii ni signature ambayo inahitaji mass approval kutoka kwenu ili tuipitishe rasmi