Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kuna kitu kimoja nilisahau kukiweka wazi, makapuku wote tuna signature yetu ambayo tunatakiwa tuwe tunaitumia kwenye majukwaa mengine (kwa wale ambao wataona sawa na ambao wako proud na ukapuku wetu).

Ikitokea umechangia kwenye uzi mwingine, chini ya comment yako malizia na signature hii....


#proudkapuku
#kapukuforchange

Hii ni signature ambayo inahitaji mass approval kutoka kwenu ili tuipitishe rasmi
Anayependa atumie....but naendelea na "makapuku founder"
 
Naona mambo yameanza kunoga
bb882903a09163658c220247e9f17f9f.jpg
Yako zaidi ya tulivyopanga.
 
Back
Top Bottom