Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ni muda WA wakongwe kutia akili na kupunguza dharau....

Sure!! Sisi kilio chetu kikuu ni hiki, kama tumeamua JF iwe ni social network ya watu wote basi each member should be treated with dignity and equality.

Tabia ya mtu akichangia kitu unakimbilia kwenye profile yake kuangalia ana muda gani jf na ana likes ngapi pamoja na followers afu unarudi kumpa maneno ya kejeri ni upuuzi inaobidi ufe.
 
Ila kama haiwezekani tutaenda hivi hivi kibishibishi....JF sio ya watu flani tu, ni ya watanzania, ni ya wakenya, waganda, warwanda na wowote wale kutoka popote pale.

Mambo ya segregation inayotokana na umaarufu wa mtu tunayakataa
 
japokuwa mimi sio mkongwe ni wa juzi juzi ..dah ili jina hapana aisee ..mimi sio kapuku
Mkuu BITOZ na SIZZYA007 tunaombeni mtafute kajina kengine kazuri mfanye substitution kwa ilo jina kapuku
Tusipojikubali hawa wakongwe watatuona sisi ni small organism

Lakini ngoma ikivuma vuvuvuuuuuu ujue imekaribia kupasuka..hatuna nyota ya punda sisi hapa hapa bongo tutatoka tuu

Makapukuu hoyeeeeeee
 
Ww umekomaa kupinga jina tu badala ya kutoa idea za kusogea mbele......MAKAPUKU ndo neno ambalo lishafahamika muda mrefu ...
 
japokuwa mimi sio mkongwe ni wa juzi juzi ..dah ili jina hapana aisee ..mimi sio kapuku
Mkuu BITOZ na SIZZYA007 tunaombeni mtafute kajina kengine kazuri mfanye substitution kwa ilo jina kapuku
Tusipojikubali hawa wakongwe watatuona sisi ni small organism

Lakini ngoma ikivuma vuvuvuuuuuu ujue imekaribia kupasuka..hatuna nyota ya punda sisi hapa hapa bongo tutatoka tuu

Makapukuu hoyeeeeeee

Nimekupenda bure!! Ila nini bob, nadhani tukomae na hii makapuku....maana hata wao ndio wanavyotuaddress!!

Tafadhali mkuu naomba ulikubali tu kama sie tulivyolikubali.
 
Back
Top Bottom