Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi kupendana ndo jadi yetu ..lengo kuunganisha nguvu za MAKAPUKU tu coz dharau zimezidi
Naamini hata sisi tutakuwa wakubwa, kwani wao wameanzia wapi?Naona Kapuku wanaleta tishio kwa wakongwe,lakini mwisho wa yote mkubwa ni mkubwa tu hata awe mfupi.
Nikiwa na hakili timamu pasipo kushawishiwa na mtu yeyotee mimi dekitambi natangaza rasmi kuwa nimejiunga rasmi na Timu MAKAPUKUHehehehe hili jina ndo maarufu, yani kifupi JF kuna Makapuku na wakongwe hivyo kwasasa inabidi tuhakikishe tunafanyaje ili kusonga mbele na sio kuhangaika na jina mkuu
Natumai utalipokea jina kwa mikono miwili na tutakuwa pamoja kulisongesha
Tumeshakuwa wakubwa mkuu, ila sasa tunataka heshima iwepo tuNaamini hata sisi tutakuwa wakubwa, kwani wao wameanzia wapi?
Karibu...Nikiwa na hakili timamu pasipo kushawishiwa na mtu yeyotee mimi dekitambi natangaza rasmi kuwa nimejiunga rasmi na Timu MAKAPUKU
JAMMII FORUM nisaidieee
Over..
Nikiwa na hakili timamu pasipo kushawishiwa na mtu yeyotee mimi dekitambi natangaza rasmi kuwa nimejiunga rasmi na Timu MAKAPUKU
JAMMII FORUM nisaidieee
Over..
Nimependa mawazo yako Mkuu.Najua una hasira nao kwa kadhia uliyokutana nayo, ishatokea!, wameleta akili mpya kwa roho zao za husda, tusiwajadili Sana watu kwani tutaanza kuwa wepesi mapemaa. Kwa hiyo tu- focus Na yetu, Objectives za kuanzisha jukwaa zipewe kipaumbele!.
Ukongwe ni circle tu.....isiwe 7bu ya kuzinguanaNaamini hata sisi tutakuwa wakubwa, kwani wao wameanzia wapi?
Hapa kazi tu hahahaaaa.....Napitia uzi wote kuanzia page ya kwanza mpaka sasa kutembeza likes tu kwa ambae nilimruka
habari za leo kapuku!Be the 1st to like[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na wewe kumbe kapukuMwe tumekumbukwa na sisi