Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ni kitambo sana ndugu yangu. Upo powa lakiini? Eti nimekidhi vigezo!!!
Ha Ha ha usijali hii ni zaidi ya M4C

Niko poa sana mkuu...

Nilikuwa napitapita tu kupunguza stress kidogo, Maana nimezurura ma jukwaa yako yote sijakuona kuanzia kule celeb mpaka sport kote hata harufu sisikii..! kilikupa nini my?

Anyway naona hapa nimechomeka gia no 1 ilhali watu wako spidi (kiharakati zaidi) ntakutafuta baadaye momiee.

BACK TANGANYIKA
 
Back
Top Bottom