Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Haha,mkuu mbona unaogopaSiku nyingine usirudie kuuliza swali kama hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha,mkuu mbona unaogopaSiku nyingine usirudie kuuliza swali kama hilo
Yan nlichokiona huku kila mtu maarufu tuWewe ni maarufu ila hapa
Hahaha tahadhari muhimuHaha,mkuu mbona unaogopa
Basi poa..Mwanachama wako akinizingua nampa kipigo kwanza zen namleta kwa uongoziNenda MEMBERS ONLY kuna lalamiko rasmi LA makapuku
akizingua MTU anaondolewa kwenye list
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Makapu nahitaji likes za kumwagaa hapaaYan nlichokiona huku kila mtu maarufu tu
Poa mkuu..Harakati njemaNashukuru sana kwa ushauri. Changamoto najua zitakuwepo tu
Siulizi tenaHahaha tahadhari muhimu
Sasa nasisi pia tunayo ya kwetu piaWana kauli zao kule...
unaomba ushauri utasikia"be the first to reply..
Usiku mwema...salamia shemeji...Jamani muda wa kulala umewadia kwa mm kapuku mzoefu... Bandiko langu naliacha hapa.. Gonga like asb takuja kulupa
Ndio mana'keHalafu na yale magoma yao hatuyashobokei...
Hope uko poa lakiniSiulizi tena
Au utasikia hivi jumatatu bado muanze kwenda shule tupumzikeWanazingua kinoma utasikia subiri ukue wanaboa kinoma
HaswaaaaaaKamaa hv mkuu[emoji3]
Usiku mwemaa Vice na Makapuku wotee humu JfHaswaaaaaa
Na kwako piaUsiku mwemaa Vice na Makapuku wotee humu Jf