Makapuku Forum

Makapuku Forum

aaah kuna mtoto wa kaka yangu kamtoroka mkewe wa ndoa pale posta kituo cha daladala, akaenda kwa hawara mpaka sasa hajarudi na simu kazima tokea hiyo jana. Hivyo nipo na mkwe wangu tunatizamana tu. naomba Mungu shetani asisogee
Hakuna shetani, acha jamaa afaidi kisha mzigo utarudishwa, cha msingi ni kushauri mhusika afunike kombe ili yaishe[emoji85] [emoji85]
 
Back
Top Bottom