Makapuku Forum

Makapuku Forum

Likes ninatoa nyingi lakini mie napokea kidogo, ngoja nimwite mshana jr aje kuweka matunguli kwa post zangu labda mambo yanaweza kuwa mazuri.

Itakuwa wanataka kuniibia Nyota yangu.

cc: Jimena,
mshana jr,
Th Name,
damtanzania.
Ndugu yangu mchango wangu hujauona bado? Thread inasonga kwa kasi ila narudi nilipoishia na kugawa likes, nimetoka kushusha makontena ya likes bandarini
 
Back
Top Bottom