Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Na wale ambao hawajaniwish pia wakandamizie na ule uzi[emoji85] [emoji85]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wale ambao hawajaniwish pia wakandamizie na ule uzi[emoji85] [emoji85]
Nahisi chuo kipo humu humumwe ngoja nikasomee tu upadre
Hata sielewi yani.Mkuu umewafanya nn mkuu
Naona kuna watu walikudis sana kwenye Huo UziJinsi ya kuopoa msichana mzuri
Jifunzeni............
Pumzika kwa amaniMuda wangu wa kupumzika umefika
Muwe na wakati mwema wapendwa
Nawapenda familia yangu ya makapuuuu
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Chukuaa ujuzi wa Bitoz utakusaidiaaHata sielewi yani.
Hata mm nimewaza ivyo kwa jinsi nilivyo pokea supply!!! Tisha sanaaKwa jinsi likes zinavyomwagika sishangai mods wakisema zimeisha kule store
Hahaha,wale watu ni hatari sanaNaona kuna watu walikudis sana kwenye Huo Uzi
Et viroba. Saah
Utakosaa utamuu mkuuHahahaha
Upi tenaUtakosaa utamuu mkuu
Una point sana.... Sasa kama kuna mahali sijakupa like sema nirudi nyuma mpaka page ya 1 nitembeze likes mwanzo mwisho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha tuu..... Yani hapa shemej yenu anashangaaa tuu...anadhan Nina mchepuko...kumbe ni kapuku forum
Ngoja nianze kuufanyia kaziChukuaa ujuzi wa Bitoz utakusaidiaa
Kwanini mkuu....Mkuu bora umeleta huu uzi maana naona watoto wazuri wananikimbia kama simba.
Inabidi niongee na mshana jrKwanini mkuu....
Tafuta vumba
Hili vuguvugu kibokoKama mm mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hbd JimenaNa wale ambao hawajaniwish pia wakandamizie na ule uzi[emoji85] [emoji85]
afu mkuu mbona usajili wangu haujakamilika bado [emoji20] [emoji18]Hakika mpenzi