Makapuku Forum

Makapuku Forum

Teh ujue kule watu walikua wanaogelea sijui wanaokua kwenye magari wanaangaliwa ,ndio tukakutana huko waendesha baiskeli ,nashangaa kina Ibra wajuzi tu analia lia na Jimena
Kweli tumetoka mbali sanaa, watu walikuwa wanajisifia jinsi wanavyomiliki gari za kifahari na jinsi wanavyoangaliana kwenye foleni, sisi na baiskeli zetu ndo tukakutana,
Ibra dawa yake ni Actros tu akiweza ainunue sio kulia lia bure tu hapa
 
Back
Top Bottom