Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Hapa hajasemwa mtu wala hajatajwa mtu jina, naona umeanza kujishtukia tu, ila ukisikia Paaaaaaaaa............Watu wako busy kuzungumzia suala la sayari ya Nibiru kuigonga dunia siku nne zijaa na kusababisha dunia kuangamia ila huku watu wako busy kuzungumzia watu!
Cc Th Name
Bitoz
ibra87
peterchoka
mshana jr
Zamaulid
youngblood
Na makapuku wote