briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,109
Na hii ndo manakeMfumo wa bar huwa hatuagi, na ndo mana nikasema tutasomana badae au sio mtu wangu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hii ndo manakeMfumo wa bar huwa hatuagi, na ndo mana nikasema tutasomana badae au sio mtu wangu?
Mkuu kwani upo kwenye viti virefu sa ivi?Mfumo wa bar huwa hatuagi, na ndo mana nikasema tutasomana badae au sio mtu wangu?
komaa kama Liver, uchomoke kama Sevilla ..Na hii ndo manake
Nakomaa kama ATM, liver sio kukomaa kule wameotea tukomaa kama Liver, uchomoke kama Sevilla ..
Basi tukomae tu mpaka kieleweke.... Hata hivyo sio nyingikila mmoja akichangia point 80*3 =240 uzi utakuwa umefikisha 8000
Ni kweli kabisa ila basi mjivute mpaka replies zisome 8,000 ndo mlaleMfumo wa bar huwa hatuagi, na ndo mana nikasema tutasomana badae au sio mtu wangu?
Na wewe kumbe uko bar?Na hii ndo manake
Basi tukomae tu mpaka kieleweke.... Hata hivyo sio nyingi
Mbona likes hamtoi?? Yani msipolike inaleta uvivu jamani hata kupost sasaWap jimena?
Sio kirahisi kama unavyofikiri[emoji4]atakuwa kapita na mia ..
Bar na mvua hizi? Nimechill tu homeNa wewe kumbe uko bar?
Nakesha mkuu, Leo mi ndo Niko zamu[emoji85] [emoji85]Wewe kapuku mwenzangu umegoma kulala?
Likes ni 2 tu mamii na hapo mandelaa kiwelu awe amekumbuka kulikeMbona likes hamtoi?? Yani msipolike inaleta uvivu jamani hata kupost sasa
Yaaaani ni shiiida, hapa like ya uhakika ni moja, either yako au yangu[emoji134]Likes ni 2 tu mamii na hapo mandelaa kiwelu awe amekumbuka kulike
Bora umeongezeka mbishi mwingine.. tuzigawe zile text kwa 4 sasaWewe kapuku mwenzangu umegoma kulala?