Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Usifananishe kuokota makopo na kukaa ofisini mkuu.sumbai sema unaenda kazini, mihangaiko si neno zuri sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usifananishe kuokota makopo na kukaa ofisini mkuu.sumbai sema unaenda kazini, mihangaiko si neno zuri sana
YaannnNimeamka salama. Mpendwa....
Hivi husikii baridi? Mpendwa
Kweli kabisa, kuna uwezekano mkubwa midume ikaweka avatar za warembo wanaovutia kidume unatumia maneno matamu kuchombeza kumbe ni dume mwenzio.JF ina upungufu wa warembo, na pia inasadikika siku hizi wanaume wa JF wame fake id za kike ...
Poa karibu tena.Mi mzima mpenzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lakini bado ni kaziUsifananishe kuokota makopo na kukaa ofisini mkuu.
Asante. Sasa honey ntarudi baadae, nisaidie kuwapa wengine salamu zanguPoa karibu tena.
Utashangaa jonax ni She[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kweli kabisa, kuna uwezekano mkubwa midume ikaweka avatar za warembo wanaovutia kidume unatumia maneno matamu kuchombeza kumbe ni dume mwenzio.
Hilo shama limelimwa usiku Wa kuamkia Leo.....dah..Mtoto wa mkulima View attachment 338272
Aikambeee[emoji120] [emoji120]Thankyuu field njema kipenzi.
I will miss you mor
HahhahahaaaaHilo shama limelimwa usiku Wa kuamkia Leo.....dah..
Kweli mshana noumaa....
Nawapongeza vijana wako Wa kazi waliolima usikuuu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ni kazi ya mihangaiko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lakini bado ni kazi
Pole mama.Niko poa sanaaa
Baridi kaliiihttp://
Hapana ni kazi ngumu...kazi ya mihangaiko ni ile unatoka hm asubuhi hujui unaenda wapi na kufanya nini[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ni kazi ya mihangaiko
Sawa swetee,usijaliAsante. Sasa honey ntarudi baadae, nisaidie kuwapa wengine salamu zangu
Asantee mzeeeHapana ni kazi ngumu...kazi ya mihangaiko ni ile unatoka hm asubuhi hujui unaenda wapi na kufanya nini
Unawezakuta mtu kaweka picha ya Beyonce kumbe ni Faiza.Upo sahihi mkuu.. Wakina bibi faiza sio ajabu wapo uku na I'd tofauti kuanza upya