Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly.na wanafanya hivyo ili wakubalike na watu, hata wakipost ujinga atapata like za kutosha na wachangiaji wengi..
salama tu..Baridi inasumbua!Niko mzima wa afya kipenzi changu, unajisikiaje na hali.
Nini kimetokea tena!
Safi kabisa...Salama vipi mkuu?
Mimi mzima piaSafi tu, mzima?
Kweli kabisa,ila nafikiri ukitumia browser kuna sehemu ya signature unaweza kuweka.Kulikuwa na signature kule setting lakini siku hizi sizioni
Tuhakikishe tunapendana tukiona mwenzetu anaonewa jukwaa fulani tunampa nguvu
Lakini sio kutukana
.....................
Kamkimbia mkongweUmeachika kwa Nani?
Maisha mihangaiko
Life is too short
You Only Live Once(YOLO)
Lite is good if u smile
Life goes on
Just relax
Good life kapukus
......................
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nitamshauli jonax afanye hivyona wanafanya hivyo ili wakubalike na watu, hata wakipost ujinga atapata like za kutosha na wachangiaji wengi..
Duh! Pole mummy, kunaweza kukahitajika nikarudi home kukupea joto?salama tu..Baridi inasumbua!
Hahhahahaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Youngblood na nahrene😀😀😀
Karibu mkuu.Safi kabisa...
salama kabisa....mjini ni kwema...mvua tu!!Salama
Ndio habari ya mjini
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
.....................
Unatamanieee!*[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji39] [emoji39]Youngblood na nahrene😀😀😀
Kuna harufu ya hujuma na mapinduzi hapa
Salama kabisa EMMYGUYHabari za asubuhi MAKAPUKU wote.