Makapuku Forum

Makapuku Forum

Auntie nimeumwa week nzima mpaka sasa hivi najisikia nafuu jamani nakuja kuulizwa leo [emoji1787] kweli tumebaki kuwa mtu na broh akee

Auntie huyo kwa dp ni nani etii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole Auntie...
Mkiwa mtu na Bro wake kama hivi huwa Inanoga sana... unamtania unavyotaka...

Huyo kwa DP ni Auntie yako Auntie..Wakati akiwa Msichana...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole Auntie...
Mkiwa mtu na Bro wake kama hivi huwa Inanoga sana... unamtania unavyotaka...

Huyo kwa DP ni Auntie yako Auntie..Wakati akiwa Msichana...
[emoji1787][emoji1787] Halafu hivi tulivyokuwa mtu na broh akee ndio napenda sanaaa tunataniana sanaaaa auntie yangu yupi alivyokuwa msichana
 
Back
Top Bottom