Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji599] SIMBA haijapoteza mchezo wowote msimu huu hadi sasa na inawezekana mambo yakawa mazuri zaidi baada ya kipa wao namba moja Aishi Manula kurejea uwanjani na daktari kusema bado wiki tatu.
.
Daktari wa Simba, Edwin Kagabo amesema anahitaji wiki tatu tu kuungana na wenzake uwanjani, hali ambayo inaonyesha anaweza kuiwahi mechi ya ufunguzi wa michuano mipya ya African Football League (AFL) dhidi ya mabingwa mara 10 wa Afrika, Al Ahly ya Misri, Kwa Mkapa, Oktoba 20.
Screenshot_20230905_145436_Instagram.jpg
 
MNYAMA KAMKANDA COSMO 5G !!
.
FT: SIMBA SC 5-1 COSMOPOLITAN
14’—[emoji460]️ Phiri (tikitaka)
16’—[emoji460]️ Baleke
21’—[emoji460]️ Onana
35’—🟥 Kapombe
36’—[emoji460]️ Cosmo (pen)
58’—[emoji460]️ Kramo
85’—[emoji460]️ Chilunda
.
Kikosi cha Simba Kilichoanza:
Lakred, Kapombe, Hussein, Kazi, Che Malone, Ngoma, Kanoute, Miquissone Onana, Phiri, Baleke.
Screenshot_20230905_145805_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom