Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Tupige magoti tusali🙏🙏[emoji1787][emoji1787] Nacheka sana auntie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupige magoti tusali🙏🙏[emoji1787][emoji1787] Nacheka sana auntie
Auntie sio kwa LeeTupige magoti tusali[emoji120][emoji120]
[emoji1787][emoji1787] Nyieee nacheka sana nimefika auntie sizunguki tenaKwahiyo bado unazunguka au ndio umefika? Ili tujue kama tunazika au tunasafirisha. Maana kwa kutuchafulia tu ukoo uko vizuri [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Kuna namna uko. Pamoja na maombi, Inabidi tuwaulize wazee pia🙆🙆🙆Auntie sio kwa Lee
Jamani auntieKuna namna uko. Pamoja na maombi, Inabidi tuwaulize wazee pia[emoji134][emoji134][emoji134]
Osama🤣🤣[emoji2424] Kocha Mkuu wa Al Merreikh, Osama Nabieh ::
.
“Wenzetu (Yanga) ukiangalia mechi zao wanaonekana wako tayari. Ni timu ambayo iko fiti na kitu kibaya zaidi kwetu ni kwamba wameshinda mechi za ligi na mbili za Afrika” alisema Nabieh, raia wa Misri.
.
“Tunalazimika kucheza mechi kama hizi za kirafiki ambazo sawa zinaweza kutusaidia, lakini sio kwa ukubwa kama utakapocheza mechi za ushindani kama ligi. Tutaendelea kujipanga zaidi tukiangalia kama tutapata mechi nyingine hapa karibuni ya kirafiki.“
.
“Ubora wao mkubwa uko eneo la kiungo mechi ambazo tumeziangalia kama hatutakuwa na ubora wa kuwadhibiti eneo hilo tunaweza kufanya makosa, lakini pia kwenye ulinzi pia ni timu nzuri.
.
“Haitakuwa mechi rahisi kwetu na hata kwao, nimewaambia wachezaji wangu hii ni sawasawa na FAINALI kwetu itakayoamua safari yetu kwenye mashindano haya, tunatakiwa kucheza kama wanajeshi.”View attachment 2741708
Weeeeh usitutanie, hebu endelea kuzunguka.[emoji1787][emoji1787] Nyieee nacheka sana nimefika auntie sizunguki tena