Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...hawa jamaa wanaagiza kwingine tofauti na EWURA wanapoagiza!? (Nisome vizuri, najua wao ni wapanga bei tu na sio waagizaji )Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) leo September 08,2023 imetangaza bei mpya za mafuta ya petroli, dizeli ,mafuta ya ndege na mafuta ya taa ambapo kwa upande wa dizeli kwa mwezi September imeonekana Kushuka hadi Tsh. 2950 tofauti na bei ya mwezi August ambayo ilikuwa 2,970.
Meneja wa Kitengo cha Uhusiano ZURA, Mbaraka Hassana amesema dizeli imepanda kwa Tsh. 169 kutoka Tsh. 2843 mwezi August,2023 hadi Tsh. 3012 mwezi huu September.
View attachment 2743723
Asubuhi njema Poker....Usiku mwema kwako mwanamke wa ndoto zangu Shunie
Usiku mwema kwako dada yangu kipenzi Atoto
Usiku mwema kwako Carasco Putin Makiwendo Lee Obe makaveli10
Asante binamu kwa kushukuru na kwako pia
Shikamoo mkuuAsubuhi njema Poker....
BabeeeeeAsante binamu kwa kushukuru na kwkao pia
Dah ila haya maisha tuyasikiage tu kuna mda unaweza kuona umeyapatia kumbe ndo yanakuvizia yakupe za uso aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hili ni jina tu mkuu