Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shindwaaaaaa!
Sijakuona huko mitaani leo ukizurula na hapa nyumbani pia haupo 😂Shindwaaaaaa!
Kenge wewe🤣🤣🤣Sijakuona huko mitaani leo ukizurula na hapa nyumbani pia haupo 😂
Nataka kusema sipendi kukuona ukinuna. Nimezoea kukuona ukiwa na furaha tele. 🤗Kenge wewe🤣🤣🤣
Ndio unataka kusemaje?
Ndio uwe unanitumia bando sasa.Nataka kusema sipendi kukuona ukinuna. Nimezoea kukuona ukiwa na furaha tele. 🤗
Mi ni mlala hoi mwenzako ndio maana nipo hapa makapuku forums 😂Ndio uwe unanitumia bando sasa.
😂😂😂😂Mi ni mlala hoi mwenzako ndio maana nipo hapa makapuku forums 😂
Usinifokee kisa vocha 😂 una nini wewe lakini.😂😂😂😂
Basi kalale upumzishe fuvu!
Kalale bwana we 🤣🤣🤣Usinifokee kisa vocha 😂 una nini wewe lakini.