Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani anakuficha?Miss You Too Mama [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Happy Birthday to you Auntie akee Makiwendo unapoongeza mwaka leo basi zikaongezeke heri zaidi, furaha na mafanikio katika maisha yako, Happy Birthday to you mama twins, me ninachojua nakupenda mnooooo [emoji3590][emoji3590] subiria muamala wa beer mbili tatu [emoji847]
Hongera Swahiba,Happy Birthday 🎁
Ahsante sana Swahiba...Hongera Swahiba,Happy Birthday [emoji320]
Enjoy your day auntie akeeee me nakupenda kinomaaaa [emoji7] usilie bwanah ebu tufurahi tu[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Oooooooh!!!!....Nitalia mimi(Unanijua)
Nakupenda zaidi kipenzi changu, Auntie wangu...Mungu atuweke kabisa...
Namba ya Mama Twins ni ile ile....Simu iite, miamala isome[emoji1787]
Love you.
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Enjoy your day auntie akeeee me nakupenda kinomaaaa [emoji7] usilie bwanah ebu tufurahi tu
[emoji1787] Simu kuita lazima
Nami nautaka huo muamala.Happy Birthday to you Auntie akee Makiwendo unapoongeza mwaka leo basi zikaongezeke heri zaidi, furaha na mafanikio katika maisha yako, Happy Birthday to you mama twins, me ninachojua nakupenda mnooooo [emoji3590][emoji3590] subiria muamala wa beer mbili tatu [emoji847]
Kwahiyo hadi wewe una sabidei🙆🙆🙆[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Nakupenda mno...
Simu yangu imetetema bila kupenda....
Najikaza silii[emoji3]
Sio nipewe mimi jamani😜
Punguza Tamaa[emoji3]Nami nautaka huo muamala.
Sasa je!!!Baby Girl Mayai nakosaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwahiyo hadi wewe una sabidei[emoji134][emoji134][emoji134]