Makapuku Forum

Makapuku Forum

Afariki baada ya mahakama kuamuru mashine ya kupumulia izimwe...![emoji3062]

Indi Gregory amefariki akiwa na umri wa miezi 8 baada ya mahakama nchini Uingereza kuamuru mashine iliyokuwa ikimsaidia kupumua izimwe.

Indi alizaliwa na ugonjwa wa kurithi unaothiri jinsi chakula kinavyovunjwavunjwa ili kuzalisha nishati za kuuwezesha mwili kufanya kazi unaojulikana kwa kitaalam kama Mitochondrial Disease.

Kwa miezi kadhaa Indi alikuwa amelazwa kwenye chumba cha wagonjwa mahututi akipumua kwa mashine. Kwa muda mrefu hospital pamoja na wazazi wake wamekuwa wakivutana mahakamani, madaktari wakitaka mashine izimwe kwa sababu ubongo wake ulikuwa umeisha haribika hivyo asingeweza kuishi mwenyewe na maisha yake yangekuwa yameteso sana, huku wazazi wake wakitaka aendelee kupatiwa matibabu hospitalini.

Tarehe 10 Novemba, Mahakama ya Uingereza ilitoa hukumu na kuamuru mashine izimwe ili mtoto huyo afariki kwa madai kwamba ilikuwa ni njia ya kumsaidia asiishi maisha ya mateso.

Kabla ya hukumu hiyo, Serikali ya Italia ilimpatia mtoto huyo uraia wa Italia na kuahidi kwamba itagharimia matibabu yake yote katika hospitali ya watoto ya Bambino Gesu jijini Rome.

Hata hivyo mahakama ya Uingereza iliwakatalia wazazi wake kumwamwisha mtoto huyo na kumpeleka Italia.

Indi amefariki leo jioni akiwa amepakatwa na mama yake. Wazazi wake wamesema, "tumekasirishwa sana, tumevunjika moyo na tumefedhesha sana ,wamefanikiwa kuchukua mwili na utu wa mtoto wetu, lakini kamwe hawawezi kuuwa roho yake."View attachment 2813210
Inasikitisha... 😔😔
 
Inasikitisha...
 
Baridi hili, ndio unajua ugumu wa kumshinda shetanj..
Baridi hili kulala kama PANGA la osman bey hainogi, baridi hili ulale nyuma ya matako kaka, unasahau tabu na shida za dunia.
...lol. Ndiyo maana mdugu nimeweka tangazo humu kwamba baridi hili linahitaji jirani mtunza siri. Sio mwenyekiti wa kikundi cha kufa na kuzikana
 
Back
Top Bottom