Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kitu imenisikitisha sana ,ulikua ni uzembe wa hali ya juuJeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema limepokea taarifa kuwa November 29,2023, saa sita usiku maeneo ya Sinza Mapambano Kinondoni Askari wawili walimjeruhi kwa risasi Mtu mmoja aliyefahamika kwa Jina la Razaki Azan mwenye umri miaka 29 Mlinzi binafsi wa Bar iitwayo Board room iliyopo Sinza Dar es salaam ambaye baaade alipoteza maisha.
Jeshi la Polisi limesema tayari limewakamata Askari hao na mambo ya kisheria yanakamilishwa na watachukuliwa hatua za kisheria haraka kadri iwezekanavyo kwa kufuata mifumo ya kisheria ikiwa ni pamoja na kuwafikisha Mahakamani.
“Mwili wa marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Rufaa Mwananyamala kukamilisha uchunguzi”
View attachment 2828983
Shukrani moudMkuu Shunie salute kwa kusongesha uzi huu
Eenh me napost tu bwana wakusoma wapo T